Latest posts
-
Mtanda ataka kasi ujenzi wa ofisi ya DC Meatu

Meatu. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda amemtaka mkandarasi Sheree Company Limited kuongeza kazi ya ujenzi wa jengo la ghorofa moja la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu, unaosuasua licha ya Serikali kutoa fedha kwa mujibu wa mkataba. Mtanda ametoa agizo hilo leo Alhamisi Oktoba 15, 2026, baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji…
-
Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega

Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru Hamisi Kusailwa, Kulwa Masanja na Mayunga Shija, waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Dase Kusailwa, baada ya kubaini mapungufu katika ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka. Miongoni mwa sababu zilizochangia uamuzi huo ni tofauti katika maelezo ya maungamo yaliyodaiwa kutolewa na washtakiwa, dosari katika…
-
Tanzania: Govt Warns HR Officers Against Salary Delays

Zanzibar — ZANZIBAR’S government has urged human resources officers to uphold integrity, patriotism and accountability when implementing salary adjustments, warning against corruption, negligence and bureaucratic delays that could deny public servants their rightful benefits. Acting Principal Secretary in the President’s Office responsible for Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance, Omar Haji Gora, issued…
-
How unseen eye problems hold back Tanzanian schoolchildren

Dar es Salaam. Thousands of bright children across Tanzania are falling behind in school, repeating classes, or being mislabelled as slow learners, not due to a lack of intelligence, but because they simply cannot see the blackboard, experts have revealed. As the country approached World Sight Day on October 8, 2026 health experts issued an…
-
Zanzibar yakabiliwa na upungufu wa wataalamu wa ganzi

Unguja. Upanuzi wa hospitali na ongezeko la vyumba vya upasuaji Zanzibar vimeongeza uhitaji wa wataalamu wa ganzi na usingizi tiba, huku idadi ya waliopo ikiwa chini ya mahitaji ya mfumo wa afya. Waziri wa Afya Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema visiwa hivyo vinahitaji takribani wataalamu 400 wa ganzi na usingizi tiba ili kukidhi mahitaji ya…
-
Othman: Tushindane katika hali ya amani, kuheshimiana

Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amesema maridhiano ya kisiasa yaliyofikiwa Zanzibar ni sehemu ya mafundisho mema ya dini ya Kiislamu, yanayohimiza haki, umoja, mshikamano na amani katika jamii. Othman ameyasema hayo leo Oktoba 16, 2026, alipokuwa akizungumza na waumini wa Kiislamu baada ya kushiriki sala ya Ijumaa katika Msikiti…
-
Tanzania: BoT Records Rise in Monetary Gold Holdings

Dar es Salaam — THE Bank of Tanzania’s gold holdings rose by 3.6 per cent in September, strengthening the gold component of its assets and highlighting the importance of precious metals in the central bank’s financial position. The Bank’s Statement of Financial Position as at September this year shows that the combined monetary gold and…
-
Mbeya faces uphill task to overtake Dar, Mwanza in economic contribution

Mbeya. The Mbeya Region, currently Tanzania’s third-largest contributor to the national economy, could rise to the top if residents and businesses make better use of available opportunities, Regional Commissioner Jumanne Sagini has said. According to Bank of Tanzania estimates for 2025, Dar es Salaam leads with a contribution of Sh39.808 trillion, followed by Mwanza at…
-
Mafanikio ziara ya siku 10 ya Rais Mwinyi Ulaya

Unguja. Ziara ya kikazi ya siku 10 ya Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi kimataifa, imetajwa kuleta mafanikio makubwa katika maeneo makuu manne ya diplomasia ya mazingira, michezo, elimu na uwekezaji. Rais Mwinyi alianza ziara hiyo ya kimataifa Oktoba 7, 2026 katika nchi za Qatar, Uhispania na kuhitimishwa jijini Yerevan, Armenia. Akimwakilisha Rais wa…
-
Rais Mwinyi arejea Zanzibar, ataja matokeo chanya ziara ya siku 10 ughaibuni

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amerejea nchini baada ya kukamilisha ziara zake za kiserikali katika nchi za Qatar, Armenia na Hispania huku akitaja mafanikio ya ziara hizo. Amesema ziara hizo zililenga kufungua fursa za kuimarisha uwekezaji, kushiriki mijadala ya kimataifa kuhusu hifadhi ya mazingira na kuimarisha maendeleo ya michezo. Akizungumza na waandishi wa…