Latest posts
-
Safari ya nishati safi inavyokumbana na mikingamo

Dar es salaam. Licha ya juhudi za Serikali kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia, bado kuni na mkaa zinaonekana kuwa chanzo cha kwanza cha nishati kwa Watanzania wengi wanapotaka kupika. Hilo linathibitishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), inayosema asilimia 70 ya Watanzania wanatumia kuni na mkaa kama chanzo cha nishati ya…
-
Shule ya Kalangalala kutumia nishati safi

Geita. Wakati matumizi ya kuni na mkaa yakiendelea kuwa juu katika maeneo ya vijijini, Shule ya Sekondari Kalangalala mkoani Geita imepokea kilo 1,500 za mkaa mbadala hatua inayolenga kupunguza utegemezi wa kuni na kuongeza matumizi ya nishati safi. Msaada huo umetolewa na Geita Gold Mining Limited (GGML) ikiwa ni sehemu ya juhudi za kusaidia shule…
-
Tanzania: Parents Urged to Invest in Education for Sustainable Development

Bukoba — BUKOBA District Commissioner, Mr Erasto Sima has urged parents and guardians across the country to invest in their children’s education to promote sustainable development. He also called on parents to closely monitor their children’s academic progress and behaviour to ensure they grow into responsible and productive citizens. Mr Sima made the remarks over…
-
13 conservation officers held over deaths of four charcoal traders in Kagera

Mwanza. Police in Kagera Region are holding 13 officers from the Tanzania National Parks Authority (TANAPA), the Tanzania Forest Services Agency (TFS) and auxiliary security personnel over the deaths of four men who were transporting charcoal on motorcycles in Muleba District. The incident occurred at about 4am on October 17, 2026, in Kanyamika Village, Karambi…
-
TotalEnergies yaimarisha usalama wa wanafunzi Buguruni Viziwi

Dar es Salaam. Wanafunzi 264 wa Shule ya Msingi Buguruni Viziwi wameanza kunufaika na jiko la kisasa linalotumia nishati safi ya kupikia pamoja na alama za usalama barabarani, baada ya shule hiyo kuibuka mshindi wa kitaifa wa Mpango wa Usalama Barabarani wa VIA mwaka 2025. Huduma hizo zimekabidhiwa na TotalEnergies Marketing Tanzania Limited kwa lengo…
-
Namtumbo watakiwa kuachana na kuni, mkaa

Namtumbo. Wajasiriamali wakiwamo Mama Lishe Wilayani Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma, wameshauriwa kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake kutumia nishati safi ya kupikia kwa ajili ya kulinda afya zao na mazingira. Ushauri huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 18, 2026, na Meneja Fedha wa Kampuni ya Oryx Gas, Ashery Mbasha, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mkuu…
-
Tanzania: BoT Orders Banks to Exchange Worn-Out Notes

Manyara — THE Bank of Tanzania (BoT) has directed all commercial banks in Manyara Region to accept worn-out and damaged banknotes for assessment and exchange, following complaints that some banks were refusing to receive them. The directive was issued recently by BoT Arusha Operations Manager, Mr Cletus Mwakalinga, during the Tanzanite Manyara Trade Fair at…
-
Two Tanzanians reportedly killed in Russia-Ukraine war as recruitment networks face scrutiny

Two Tanzanian nationals have reportedly died while serving in the Russian Armed Forces, raising concerns about the recruitment of young Africans into the Russia-Ukraine war through overseas employment opportunities. The two men, identified as Mosha Elikunda Elibapiki, 22, and Samimik Samveli Peter, 32, reportedly died in July 2025, according to information published by StopRussianRecruiters.org, a…
-
Mtanda ataka kasi ujenzi wa ofisi ya DC Meatu

Meatu. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Said Mtanda amemtaka mkandarasi Sheree Company Limited kuongeza kazi ya ujenzi wa jengo la ghorofa moja la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Meatu, unaosuasua licha ya Serikali kutoa fedha kwa mujibu wa mkataba. Mtanda ametoa agizo hilo leo Alhamisi Oktoba 15, 2026, baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji…
-
Mahakama yawaachia huru watatu kesi ya mauaji Nzega

Arusha. Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Tabora, imewaachia huru Hamisi Kusailwa, Kulwa Masanja na Mayunga Shija, waliokuwa wakikabiliwa na shtaka la kumuua Dase Kusailwa, baada ya kubaini mapungufu katika ushahidi uliowasilishwa na upande wa mashtaka. Miongoni mwa sababu zilizochangia uamuzi huo ni tofauti katika maelezo ya maungamo yaliyodaiwa kutolewa na washtakiwa, dosari katika…