Latest posts
-
CCM kwafukuta, ni mwendo wa mnyukano

Soma zaidi… Source link
-
Tanzania: RC Sets Seven-Day Deadline for Building Permit

Singida — SINGIDA Regional Commissioner Halima Dendego has directed public servants to resolve complaints related to building permits within seven days as part of efforts to improve service delivery and strengthen accountability in the region. She issued the directive yesterday during a meeting with public servants from various departments following her tour of Singida District,…
-
Tanzania on alert as Indian Ocean system threatens cyclone formation

Dar es Salaam. Tanzania’s weather authority has warned that a low-pressure system in the Indian Ocean, near the Seychelles Islands, is expected to intensify into a cyclone within the next four days, potentially strengthening rainfall systems along the country’s coastal areas from October 24, 2026. According to a statement issued by the Tanzania Meteorological Authority…
-
Familia ya Odinga ‘yagawanyika’ kuelekea uchaguzi mkuu 2027

Raila Odinga Junior ametangaza kumuunga mkono Rais wa Kenya, William Ruto katika azma yake ya kuwania tena muhula wa pili, huku akisisitiza kuwa ataendelea kubaki katika chama cha Orange Democratic Movement (ODM), msimamo unaomtofautisha na baadhi ya wanafamilia yake wanaopinga ushirikiano wa chama hicho na Serikali ya Kenya Kwanza. Junior, mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu…
-
Mabasi ya umeme Zanzibar, yaja na changamoto zake

Oktoba Mosi, 2026, Zanzibar iliandika historia. Kwa mara ya kwanza, mabasi ya umeme ya kisasa yenye urefu wa mita 12, yaliyoletwa na kampuni ya EKA Mobility ya India kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF) na GRT, yalianzisha safari zake rasmi. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi aliyazindua Julai 23, 2026 katika…
-
TMA yaeleza uwepo kimbunga bahari ya Hindi

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mgandamizo mdogo wa hewa uliopo katika Bahari ya Hindi karibu na Visiwa vya Ushelisheli unatarajiwa kuimarika na kuwa kimbunga ndani ya siku nne zijazo. Pia, ukitarajiwa kuimarisha mifumo ya mvua katika maeneo ya ukanda wa pwani kuanzia Oktoba 24, 2026. Kwa mujibu wa taarifa…
-
Tanzania: PSPTB Enlists Employers in Fee Recovery Drive

Dodoma — The Procurement and Supplies Professionals and Technicians Board (PSPTB) will involve employers in efforts to recover outstanding professional fees from registered practitioners who have failed to renew their membership, warning that continued non-compliance could lead to deregistration. Speaking to reporters in Dodoma yesterday, PSPTB Executive Director, Mr Godfred Mbanyi urged practitioners who had…
-
Tanzania yaanzisha kituo cha kuwaandaa vijana wa Afrika kujadili tabianchi

Dar es Salaam. Tanzania imeanzisha Kituo cha Mafunzo ya Vijana wa Afrika kuhusu majadiliano ya tabianchi, kinacholenga kuwajengea uwezo vijana kushiriki katika maamuzi ya kimataifa yanayohusu mazingira na maendeleo. Uzinduzi wa kituo hicho umefanyika jijini Dar es Salaam, leo Jumanne, Oktoba 20, 2026, ukiwa na lengo la kuwaandaa vijana kushiriki kikamilifu katika majadiliano ya kimataifa…
-
Hashim Rungwe akwama kortini, fidia ya Sh1 bilioni yayeyuka

Kigoma. Hashim Rungwe, mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), amekwama mahakamani baada ya madai yake ya kulipwa fidia ya Sh1 bilioni kukataliwa na mahakama ikatamka yeye si mmiliki halali wa kiwanja alichokuwa anadai. Rungwe ambaye katika hukumu hiyo mahakama imemtambua pia kwa jina lake maarufu la Sipunda, ni wakili wa kujitegemea.…
-
Watoto wa Cleopa Msuya wavutana mahakamani kuhusu mirathi

Dar es Salaam. Watoto watatu wa aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Tanzania, Cleopa Msuya, wameingia katika mvutano wa kisheria kuhusu usimamizi wa mirathi ya baba yao, huku mmoja wao akiiomba Mahakama Kuu kutoa amri za muda za kulinda mali za marehemu. Katika uamuzi uliotolewa Oktoba 13, 2026, Jaji Sara Mwaipopo…