Latest posts
-
Bajaji zaanza kurejea mtaani Mbeya, daladala zalalamika

Mbeya. Bajaji jijini Mbeya zimeanza kurejea barabarani baada ya kusitisha huduma kwa takribani siku mbili kupinga kuondolewa katika barabara kuu ya Tanzam, huku wananchi wakimtaka Mkuu wa Mkoa wa Mbeya (RC), Jumanne Sagini, kusimamia msimamo wake wa kutaka vyombo vya usafiri kuzingatia sheria. Hata hivyo, kurejea kwa bajaji hizo kumeambatana na malalamiko kutoka kwa baadhi…
-
Vyuo vya Afrika, Norway vyafichua tija tafiti za nishati safi

Unguja. Watafiti na wahadhiri kutoka vyuo vikuu vya Afrika na Norway wameeleza mafanikio ya miaka 20 ya ushirikiano katika tafiti za nishati safi na jadidifu, ikiwamo teknolojia za kupikia kwa jua na kuzalisha umeme. Mkutano huo wa kutathmini mafanikio ya Mtandao wa Teknolojia ya Nishati wa NORHED II umehusisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam…
-
Tanzania: Regional Stock Markets Diverge As Dse Value Decline

Dar es Salaam — EGIONAL stock markets are diverging, with Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) losing approximately 0.27 billion US dollars in market value, equivalent to 712bn/-, between September 30 and October 16, 2026, as bank shares led the decline. Total market capitalisation fell 1.75 per cent to 39.86tri/- . The Banks, Finance and…
-
TRA moves to simplify tax compliance for sugarcane farmers and businesses

Dar es Salaam. The Tanzania Revenue Authority (TRA) plans to simplify tax compliance procedures for sugarcane farmers and other businesses following concerns over the process of obtaining Taxpayer Identification Numbers (TINs) and other tax-related challenges. TRA Commissioner General Yusuph Mwenda announced the plan yesterday during a visit to Kilombero Sugar Factory and a meeting with…
-
Miaka 40 tangu kifo cha Machel, kauli ya “A luta continua” yaendelea kuishi

Dar es Salaam. “A luta continua,” mapambano yanaendelea. Kauli hiyo iliyohusishwa na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Msumbiji, Samora Machel, imeendelea kuwa alama ya mapambano ya uhuru na mshikamano wa watu wa kusini mwa Afrika, miaka 40 tangu kiongozi huyo afariki dunia katika ajali ya ndege. Jana Oktoba 19, 2026, ilitimia miaka 40 tangu Machel…
-
Kabila ndani ya muungano mpya, vita vilevile

Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, amechukua hatua mpya katika mzozo wa kisiasa na kijeshi unaoendelea mashariki mwa nchi hiyo: kuongoza muungano mpya unaoitwa Front pour la Refondation de la Nation (FRN). Muungano huo umetangazwa wakati mapigano yakiendelea, maeneo muhimu yakiwa chini ya udhibiti wa waasi na juhudi za kidiplomasia…
-
Tanzania: New Zeal for Startups

Comprehensive policy in offing Govt explores ways to ease business financing The government has pledged to create a favourable environment for startups to thrive, generate employment and contribute to the country’s economic growth. As part of the initiative, it has given the Ministry of Industry and Trade six months to develop a comprehensive policy to…
-
Tanzania researchers turn sisal waste into animal feed, fertiliser and energy

Tanga. Waste from sisal processing, long regarded as an industrial by-product, could be turned into animal feed, organic fertiliser and energy, researchers have said. Research findings presented yesterday show the potential to convert sisal waste into economically valuable products while reducing waste and environmental challenges facing processing factories. Presenting the findings, Dr Aziza Konyo, a…
-
KONA YA MALOTO: Ndejembi anavyoiandika Serikali ya Samia kwenye kitabu cha Watanzania

Leo, Oktoba 21, 2026, zimetimia siku 54 tangu Deogratius Ndejembi alipoapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akiwa hajafikisha hata miezi miwili, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa kama imechaji betri upya, na sasa ina nishati yenye nguvu ajabu. Ndejembi amekuwa tonic, yaani chachandu kwenye Serikali na Baraza la Mawaziri.…
-
CCM kwafukuta, ni mwendo wa mnyukano

Soma zaidi… Source link